Mwanadada anaefanya vizuri katika kiwanda cha muziki kwa upande wa rap ,Rosa ree amefunguka na kusema kuwa katika maisha haliyoishi mpaka kufikia sasa hivi aona kama kuna mwanaume anaeweza kumhonga hela nyingi za yee kuridhika nazo .
Mwanadada huyo ambae amekuwa akionekana na muonekano wa kiume kila siku na imekuwa ikisemekana kuwa hana mwanaume katika maisha yake ya kimahusiano anasema kuwa haoni kama mwanaume anaweza kumpa ela yoyote inayoweza kumridhisha.
Pia rosa ree anasema kuwa huwa hawaelewi sana wanaume wanapokuja na kumhonga kwa sababu anakuwa haelewi kama ndio wanaonga au wanajaribu ” mimi sihongeki , kwaio hata mtu akinionga huwa nashindwa kuelewa ni kwamba annihonga au ananijaribu.”
About Me
Popular Posts
-
Msanii wa Bongo movie na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto ameweka wazi kuwa hana kinyongo na kutoa ba...
-
Leo June 19, 2018 Mbunge wa Rufiji (CCM), Mohamed Mchengerwa amemtabiria Naibu Waziri wa Kilimo Dr. Mary Mwanjelwa kuchukua jimbo l...
-
Leo June 20, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ambaye ameongezeka katika list ya wavumbuzi wa magari ya nisha...
-
SERIKALI imepeleka sh. bilioni 2.6 katika Jiji la Mwanza kwa ajili ya kugharamia uboreshaji wa vituo vya afya ili kuimaris...
-
Wikiendi hii imekuwa ni ya nenda kwa usalama katika mitandao ya kijamii kutokana na habari kubwa kabisa ya mh rais kuteuwa viongozi mbalim...
-
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo Alhamisi Juni 7, 2018 inakutana na bodi na menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ku...
-
Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani alimaarufu kama 'Mzee Majuto' amefunguka na kuweka wazi ugonjwa ambao unamsumbua kw...
-
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu nane wanaosadikiwa kuwa majambazi kwa tuhuma za kuhusika na t...

No comments:
Post a Comment