Mfanyabiashara maarufu Tanzania, Mohammed Dewji maarufu kama MO Dewji ameguswa na hali ya sintofahamu inayoendelea kunako klabu ya Yanga.
MO amesema kuwa kwa sasa anaiombea klabu hiyo kwa Mungu ili waweze kupita katika kipindi hiki kigumu ambapo anaamini kuwa kuimarika kwa timu hiyo kutapelekea timu imara ya Taifa Stars.
“Tunahitaji Yanga imara ambayo inaweza kushindana na Simba, tunahitaji Yanga imara kwa ajili ya timu bora ya Taifa Stars. Ninawaombea Yanga waweze kupita katika kipindi hiki kigumu kwao, wanapaswa watulie na waungane upya,“ameandika MO Dewji kwenye ukurasa wake wa Twitter.
MO Dewji ambaye ni moja ya watu wenye hisa nyingi ndani ya klabu ya Simba, amesema hayo ikiwa ni miezi minne sasa tangu klabu ya Yanga iingie kwenye utikisiko wa kiuchumi na mabadiliko ya mara kwa mara ya uongozi, ambayo yamepelekea matokeo mabovu ya klabu hiyo kwenye michuano ya kimataifa.
About Me
Popular Posts
-
Msanii wa Bongo movie na mzazi mwenza wa staa wa Bongo fleva Diamond Platnumz, Hamisa Mobetto ameweka wazi kuwa hana kinyongo na kutoa ba...
-
Leo June 19, 2018 Mbunge wa Rufiji (CCM), Mohamed Mchengerwa amemtabiria Naibu Waziri wa Kilimo Dr. Mary Mwanjelwa kuchukua jimbo l...
-
Leo June 20, 2018 nakusogezea stori kumhusu Mwanafunzi mmoja nchini Kenya ambaye ameongezeka katika list ya wavumbuzi wa magari ya nisha...
-
SERIKALI imepeleka sh. bilioni 2.6 katika Jiji la Mwanza kwa ajili ya kugharamia uboreshaji wa vituo vya afya ili kuimaris...
-
Wikiendi hii imekuwa ni ya nenda kwa usalama katika mitandao ya kijamii kutokana na habari kubwa kabisa ya mh rais kuteuwa viongozi mbalim...
-
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) leo Alhamisi Juni 7, 2018 inakutana na bodi na menejimenti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ku...
-
Mchekeshaji maarufu Bongo, Amri Athumani alimaarufu kama 'Mzee Majuto' amefunguka na kuweka wazi ugonjwa ambao unamsumbua kw...
-
Na Mwamvua Mwinyi,Pwani JESHI la polisi Mkoa wa Pwani linawashikilia watu nane wanaosadikiwa kuwa majambazi kwa tuhuma za kuhusika na t...

No comments:
Post a Comment